• HABARI MPYA

  Friday, May 05, 2023

  YANGA SC YAREJEA KUJIPANGA KUIVAA MARUMO GALLANTS JUMATANO


  KIKOSI cha Yanga kimerejea Dar es Salaam leo baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Singida Big Stars jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa LITI mjini Singida.
  Moja kwa moja kikosi cha Yanga kimeingia kambini Avic Town, Kigamboni kujiandaa na Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini Jumatano ijayo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAREJEA KUJIPANGA KUIVAA MARUMO GALLANTS JUMATANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top