• HABARI MPYA

  Thursday, April 06, 2023

  MECHI YA SIMBA SC SASA SAA 1:00 USIKU KESHO CHAMAZI


  MCHEZO wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baina ya wenyeji, Simba na Ihefu ukesogezwa kutoka Saa 10:00 jioni hadi Saa1:00 usiku.
  Ikumbukwe mchezo huo ulija esho umehamishiwa kutoka Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam hadi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam.
  Inafahamika Robo Fainali ya mwisho ya michuano hiyo baina ya mabingwa watetezi, Yanga SC na Geita Gold itafanyika hapo hapo Azam Complex Jumamosi Saa 1:00 usiku.
  Wakishinda; Simba atacheza na Azam FC aliyemtoa Mtibwa Sugar na Yanga atakutana na Singida Big Stars aliyemtoa Mbeya City.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MECHI YA SIMBA SC SASA SAA 1:00 USIKU KESHO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top