• HABARI MPYA

  Friday, July 01, 2022

  COASTAL UNION WAWASILI ARUSHA KUIVAA YANGA


  MSHAMBULIAJI tegemeo wa Coastal Union, Abdul Hamisi Suleiman ‘Sopu’ akiteremka kwenye basi baada ya kuwasili Arusha kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Yanga Jumamosi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION WAWASILI ARUSHA KUIVAA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top