TIMU ya Yanga Princess imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya JKT Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Mabao yote ya Yanga Princess leo yamefungwa na mshambuliaji nyota na chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Aisha Masaka ‘Aisha Magoal’ dakika za 35,38 na 90 na ushei. Kwa ushindi huo, Yanga Princess inapanda kileleni japo kwa muda, ikifikisha pointi saba baada ya kucheza mechi tatu, ikiwazidi pointi moja mabingwa watetezi, Simba Queens ambao hata hivyo wamecheza mechi mbili.
-
YOUNG Africans have reignited their hopes of reaching the quarterfinals of
the CAF Champions League following a vital 1-0 victory over Al Hilal at
the C...
Coach Paul Put’s reaction on the CHAN 2024 Draw
-
Uganda Cranes Head Coach Paul Joseph Put expects no pushovers at the CAF
TotalEnergies African Nations Championship (CHAN) KE.TZ.UG 2024. The gaffer
was ...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment