• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 01, 2020

  DIOGO JOTA ATOKEA BENCHI KUIFUNGIA BAO LA USHINDI LIVERPOOL


  Diogo Jota akishangilia baada ya kutokea benchi dakika ya 70 kuchukua nafasi ya Roberto Firmino na kuifungia bao la ushindi Liverpool dakika ya 85 ikiwalza West Ham United 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Wagonga Nyundo wa London walitangulia kwa bao la Pablo Fornals dakika ya 10, kabla ya Mohamed Salah kuwasawazishia wenyeji kwa penalti dakika ya 42
   

   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DIOGO JOTA ATOKEA BENCHI KUIFUNGIA BAO LA USHINDI LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top