Kiungo Mtaliano mwenye asili ya Brazil, Jorge Luiz Frello Filho 'Jorginho' akiwa ameshika jezi ya Chelsea pamoja na kocha mpya wa timu hiyo, Maurizio Sarri kufuatia kukamilisha uhamisho wa Pauni 57 kutoka Napoli ya Italia. Jorginho alikuwa anatakiwa pia na Manchester City ambao wamelalamika Napoli kumlazimisha mchezaji huyo kuhamia Chelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lionel Messi shows off huge bump on his forehead after helping Argentina to
avoid one of World Cup's biggest upsets against Cape Verde
-
Messi was again on the scoresheet with a sublime goal as Argentina beat the
West African minnows 3-2 to reach the last 16 - but only after extra-time.
The ...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment