• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 25, 2018

  MOUTINHO ATUA WOLVES KWA PAUNI MILIONI 5 KUTOKA MONACO

  Kiungo Mreno, Joao Moutinho akiwa na jezi ya wageni katika Ligi Kuu ya England, Wolves baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 5 kutoka Monaco ya Ufaransa. Moutinho ni mchezaji wa tatu kuichezea mechi nyingi Ureno baada ya Cristiano Ronaldo na Luis Figo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MOUTINHO ATUA WOLVES KWA PAUNI MILIONI 5 KUTOKA MONACO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top