• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 30, 2018

  YANGA NA GOR MAHIA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Kiungo wa Yanga Sc, Raphael Daudi (kushoto) akimlamba chenga Nahodha wa Gor Mahia, Harun Shakava katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Gor Mahia ilishinda 3-2 
  Beki wa Yanga, Juma Abdul akipambana na kiungo wa Gor Mahia, George Odhiambo 'Blackberry' 
  Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony akimtoka beki wa Gor Mahia, Joash Onyango (katikati) 
  Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akimvisha kanzu mchezaji wa Gor Mahia  
  Kiungo wa Gor Mahia, Francis Kahata akimtoka Yussuf Mhilu wa Yanga 
  Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akipambana katikati ya wachezaji wa Gor Mahia
  Yussuf Mhilu wa Yanga akiwatoka wachezaji wa Gor Mahia  
  Wachezaji wa Yanga na Gor Mahia wakiingia uwanjani kwa ajili ya mchezo wa jana 
  Kikosi cha Yanga SC katika mchezo wa jana
  Kikosi cha Gor Mahia katika mchezo wa jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA NA GOR MAHIA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top