Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kusawazisha dakika ya 63, zikiwa ni sekunde 52 tangu aingie kutokea benchi kuchukua nafasi ya Curtis Jones Wekundu hao wa Anfield wakitibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa MetLife mjini East Rutherford, New Jersey, Marekani. Man City walitangulia kwa bao la Leroy Sane dakika ya 57 na Liverpool ilipata bao lake la ushindi kupitia kwa mshambuliaji Msenegali, Sadio Mane aliyefunga kwa penalti baada ya Dom Solanke kuangushwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment