• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 26, 2018

  MAGULI AJIUNGA NA AS KIGALI YA RWANDA KAMA MCHEZAJI HURU

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Elias Maguli (kulia) akikabidhiwa jezi ya timu ya AS Kigali ya Rwanda baada ya kusaini mkataba wa kujiunga nayo kama mchezaji huru. Maguri amewahi kuchezea Dhofar SC, ya Oman, Ruvu Shooting ya Pwani, Stand United ya Shinyanga na Simba SC ya Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAGULI AJIUNGA NA AS KIGALI YA RWANDA KAMA MCHEZAJI HURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top