• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 23, 2018

  SIMBA WALIVYOENDELEA NA MAZOEZI LEO KATIKA KAMBI YAO YA ISTANBUL

  Kocha mpya wa Simba SC, Mbelgiji Patrick J Aussems akiwaongoza mazoezini wachezaji wa timu hiyo leo mjini Istanbul, Uturuki katika kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya 
  Wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezini leo mjini Istanbul, Uturuki katika kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya  
  Nahodha John Bocco akiwangoza wachezaji wenzake leo mjini Istanbul 
  Nahodha John Bocco akipiga dana dana leo mjini Istanbul 
  Mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi akichezea mpira mazoezini leo mjini Istanbul
  Kocha Mbelgiji wa Simba SC, Patrick Aussems akiwatazama vijana wake mazoezini  
  Mshambuliaji mpya kutoka Zambia, Cletus Chama akiwaongoza wenzake mazoezini 
  Wachezaji wa Simba SC wakiwa na rafiki yao uwanjani hapo 
   Kutoka kulia Mohammed Hussein 'Tshabalala', Emmanuel Okwi, Adam Salamba na Yussuf Mlipili 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA WALIVYOENDELEA NA MAZOEZI LEO KATIKA KAMBI YAO YA ISTANBUL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top