• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 31, 2018

  ALISSON AANZA KUJIFUA NA LIVERPOOL TAYARI KWA KAZI

  Kipa mpya wa Liverpool, Alisson Becker akichupia mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo leo mjini Evian-les-Bains kusini mashariki mwa Ufaransa, hiyo ikiwa mara yake ya kwanza tangu ajiunge nayo kwa dau la Pauni Milioni 65 kutoka Roma baada ya kung'ara kwenye fainali za Kombe la Dunia akiwa anaidakia timu yake ya taifa, Brazil nchini Urusi mwezi huu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ALISSON AANZA KUJIFUA NA LIVERPOOL TAYARI KWA KAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top