• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 27, 2018

  FRED AINGIA KAMBINI MAREKANI TAYARI KWA KAZI MAN UNITED

  Kiungo mpya wa Manchester United, Fred aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 52 kutoka Shakhtar Donetsk akipewa maelekezo na mmoja wa makocha, Gary Walker baada ya kujiunga na wenzake kambini Beverly Hills mjini California, Marekani kujiandaa na msimu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FRED AINGIA KAMBINI MAREKANI TAYARI KWA KAZI MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top