BOSI 'MO DEWJI' AKIWA NA KOCHA MPYA WA SIMBA MBELGIJI AUSSEMS
Mfadhili wa Simba SC na mwanahisa mkuu mtarajiwa, Mohammed Dewji (kushoto) akiwa na kocha mpya wa klabu hiyo, Patrick J Aussems jana baada ya Mbelgiji huyo kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na Wekundu hao wa Msimbazi
0 comments:
Post a Comment