• HABARI MPYA

    Sunday, July 29, 2018

    HII NI PAMBA YA MWANZA YA AKINA GEORGE GOLE, HAMZA MPONDA, DANI MUHOJA…

    Kikosi cha Pamba SC mwaka 1994 kutoka kulia waliosimama ni Paul Rwechungura, Paschal Mayalla, Willy Cyprian, Hamza Mponda (marehemu), Mao Mkami, Daniel ‘Dani’ Muhoja, Rajab Msoma (marehemu), Micky Mbarouk na Dhikiri Mchumila. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Alphonce Modest, Saleh Mohammed, George Gole, Charles Dioniz, Andrew Godwin, Bitta John na Clement Kahbuka (sasa Obeid Kahbuka).
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    1 comments:

    Mpoke said... October 11, 2021 at 12:49 PM

    Kumbukumbu nzuri ila nadhani George Gole ni watatu kutoka kulia waliochuchumaa.

    Item Reviewed: HII NI PAMBA YA MWANZA YA AKINA GEORGE GOLE, HAMZA MPONDA, DANI MUHOJA… Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top