• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 28, 2018

  LACAZETTE AFUNGA MABAO MAWILI ARSENAL YAIPIGA PSG 5-1

  Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 67 na 71 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya PSG katika mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa Uwanja wa Taifa wa Singapore leo. Mabao mengine ya Arsenal ambayo sasa ipo chini ya kocha Mspaniola Unai Emery aliyemrithi Mfaransa Arsene Wenger yamefungwa na Mesut Ozil dakika ya 13, Rob Holding dakika ya 87 na Eddie Nketiah dakika ya 90 na ushei, wakati la PSG limefungwa na Christopher Nkunku dakika ya 60 kwa penalti 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LACAZETTE AFUNGA MABAO MAWILI ARSENAL YAIPIGA PSG 5-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top