• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 30, 2018

  RONALDO AWASILI TURIN KUANZA RASMI KAZI JUVENTUS

  Ronaldo akipunga mikono baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Turin nchini Italia jana kujiunga rasmi na timu yake mpya, Juventus kwa maandalizi ya msimu mpya kufuatia uhamisho wa Pauni Milioni 100 kutoka Real Madrid 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AWASILI TURIN KUANZA RASMI KAZI JUVENTUS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top