Pedro akishangilia baada ya kuifungia bao la kuongoza Chelsea dakika ya nane katika sare ya 1-1 na Inter Milan kabla ya kushinda kwa penalti 5-4 kwenye mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa usiku huu Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice, Ufaransa. Roberto Gagliardini aliisawazishia Inter dakika ya 49 akitumia makosa ya Tiemoue Bakayoko kabla ya Cesar Azpilicueta kufunga penalti ya ushindi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment