• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 24, 2018

  SALAH AENDELEA KUIMARIKA MAUMIVU YA BEGA KAMBINI MAREKANI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Misri, Mohamed Salah akifanya mazoezi ya viungo na wachezaji wenzake wa Liverpool baada ya kuimarika kufuatia maumivu ya bega aliyoyapata Mei mwaka huu. Liverpool imeweka kambi North Carolina Marekani kwa maandalizi ya msimu mpya 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH AENDELEA KUIMARIKA MAUMIVU YA BEGA KAMBINI MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top