• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 31, 2018

  SIMBA SC MAZOEZINI LEO ISTANBUL MAANDALIZI YA MSIMU MPYA

  Wachezaji wa Simba SC ya Dar es Salaam wakifanya mazoezi kwenye viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul, Uturuki walipoweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya
  Hapa mabeki Erasto Nyoni (kulia) na Serge Wawa Pascal (wa nne kutoka kulia) wakiwadhibiti washambuliaji Emmanuel Okwi na Meddie Kagere katikati yao
  Mshambuliaji Mohammed Abdallah akimiliki mpira pembeni ya beki Mohammed Hussein 'Tshabalala'
  Kipa Deogratius Munishi 'Dida' akijiandaa kudaka  
  Wachezaji wa Simba SC wakipambana mazoezini mjini Istanbul
  Kocha mpya wa Simba SC, Mbelgiji Patrick J Aussems akiwapa mawaidha wachezaji leo mazoezini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC MAZOEZINI LEO ISTANBUL MAANDALIZI YA MSIMU MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top