• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 26, 2018

  MAN UNITED YAIGONGA AC MILAN KWA MATUTA MAREKANI

  Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuigungia bao la kuongoza Manchester United dakika ya 12 katika sare ya 1-1 na AC Milan kwenye mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa Uwanja wa Rose Bowl, Pasadena, California nchini Marekani. Suso aliisawazishia AC Milan dakika ya 15 kabla ya Man United kwenda kushinda kwa penalti 9-8 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAIGONGA AC MILAN KWA MATUTA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top