• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 27, 2018

  MAZOEZI YA JIONI SIMBA SC KAMBI YA UTURUKI LEO

  Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto) akimiliki mpira dhidi ya beki mwenzake wa pembeni, anayeweza kucheza kama beki wa kati na kiungo pia, Shomari Kapombe kwenye mazoezi ya Simba leo mjini Istanbul, Uturuki
  Kiungo Mohammed 'Mo' Ibrahim akipasua katikati ya wachezaji wenzake leo jioni kwenye mazoezi ya kujiandaa na msimu  
  Kiungo Said Ndemla akikijivuta kupiga mpira leo kwenye kambi ya Simba ya Uturuki 
  Shomari Kapombe (kulia) akitoa pasi mazoezini leo
  Kocha Mbelgiji wa Simba C, Patrick J Aussems akitoa maelekezo kwa wachezaji wake
  Kiungo Jonas Mkude akiwa kwenye mazoezi ya gym jioni ya leo katika kundi lingine la wachezaji wa Simba  
  Meddie Kagere akifanya mazoezi ya gym jioni ya leo
  Mshambuliaji Adam Salamba akiwa katika mazoezi ya gym 
  Kocha wa mazoezi ya viungo wa Simba akiwangoza wachezaji wa Simba waliokuwa wana programu ya mazoezi ya nguvu jioni ya leo  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA JIONI SIMBA SC KAMBI YA UTURUKI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top