• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 26, 2018

  MBAO FC YASAJILI KIPA ALIYECHEZA KENYA, SOMALIA NA QATAR

  Kipa Hashim Mussa akiwa ameshika jezi ya Mbao FC baada ya kukamilisha usajili wake kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Maji Maji FC ya Songea iliyoteremka Daraja.
  Kipa Bruno Thomas akiwa ameshika jezi ya Mbao FC baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili mama mchezaji huru, kufuatia kumaliza mkataba wake Nairobi City ya Ligi Daraja la Kwanza nchini Kenya.  Kipa huyo mwenyeji wa Arusha, amewahi kuzidakia pia timu za Ping Limited FC ya Daraja la Pili nchini Kenya, Gadidka ya Ligi Kuu ya Somalia na Qatar United ya Qatar
  Beki wa kushoto, Hamim Abdul Karim akiwa ameshika jezi ya Mbao FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na timu hiyo kwa mkopo kutoka Azam FC. Hamim amewahi kuzichezea timu za Toto Africans, Pamba SC za Mwanza pia, Geita Gold SC ya Geita na CDA ya Dodoma
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBAO FC YASAJILI KIPA ALIYECHEZA KENYA, SOMALIA NA QATAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top