• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 26, 2018

  LYANGA ATUA AZAM FC KUZIBA PENGO LA SHAABAN IDDI CHILUNDA

  Mshambuliaji Daniel Lyanga akiwa ameshika jezi ya Azam FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na klabu hiyo kufuatia kuitumikia kwa muda mfupi Singida United akitokea Fanja ya Oman, ambayo ilimsajili kutoka Simba ya Dar es Salaam pia. Lyanga anakwenda kuziba nafasi ya mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda aliyetolewa kwa mkopo Tenerife ya Hispania  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LYANGA ATUA AZAM FC KUZIBA PENGO LA SHAABAN IDDI CHILUNDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top