• HABARI MPYA

    Thursday, July 26, 2018

    ANDRE SCHURRLE AJIUNGA NA FULHAM KWA MKOPO

    Mshambuliaji Andre Schurrle akifurahia baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo kujiunga na Fulham ya England kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Borussia Dortmund ya kwao, Ujerumani 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ANDRE SCHURRLE AJIUNGA NA FULHAM KWA MKOPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top