• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 26, 2018

  YANGA SC YASAJILI WAKONGO WAWILI, KIPA NA MSHAMBULIAJI

  Kipa Klaus Nkinzi Kindoki (kushoto) na mshambuliaji Heritier Makambo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakiwa na jezi za Yanga baada ya kila mmoja kusaini mkataba wa miaka miwili leo mjini Dar es Salaam kufuatia majaribio ya wiki kadhaa chini ya kocha Mwinyi Zahera kutoka DRC pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YASAJILI WAKONGO WAWILI, KIPA NA MSHAMBULIAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top