Kiungo Mfaransa wa Manchester United, Paul Pogba akiwa amevaa jezi namba 21 ya timu ya taifa ya Argentina, ambayo huvaliwa na mchezaji mwenzake wa zamani Juventus, Paulo Dybala. Pogba aliyeipa Ufaransa Kombe la Dunia mwezi huu nchini Urusi, michuano ambayo Argentina haikufanya vizuri amepigwa picha hiyo katika kambi ya Manchester United kujiandaa na msimu mpya mjini Los Angeles, Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment