• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 25, 2018

  MAIMUNA NA HAPPY KUPIGANA AGOSTI 8 MBAGALA

  Mabondia wa kike Maimuna Hashim (kushoto) na Happy Daudi (kulia) wakichimbana mikwara baada ya kusaini mkataba wa kupigana Agosti 8, mwaka huu katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala mjini Dar es Salaam, siku ambayo pambano kuu litakuwa kati ya Said Mbelwa 'Moto wa Gesi' na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAIMUNA NA HAPPY KUPIGANA AGOSTI 8 MBAGALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top