TEGETE NA JUMA NYOSSO WAKIWA MAZOEZINI KAGERA SUGAR
Wachezaji wa Kagera Sugar, mshambuliaji mpya, Jerry Tegete (kushoto) na beki Juma Nyosso (kulia) kabla ya kuanza mazoezi jana Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara
0 comments:
Post a Comment