• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 23, 2018

  LIVERPOOL YAPIGWA 3-1 NA TIMU YA ZAMANI YA KLOPP

  Beki Virgil van Dijk (wa pili kushoto) akiwa juu kuifungia kwa kichwa Liverpool dakika ya 25 ikilala 3-1 mbele ya timu ya zamani ya kocha wao, Jurgent Klopp, Borussia Dortmund katika mchezo wa urafiki usiku huu Uwanja wa Bank of America mjini Charlotte, North Carolina, Marekani. Mabao ya Borussia Dortmund yamefungwa na Christian Pulisic kwa penalti dakika ya 66 na Jacob Bruun Larsen dakika ya tatu ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAPIGWA 3-1 NA TIMU YA ZAMANI YA KLOPP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top