• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 26, 2018

  MOURA AFUNGA MAWILI KAMA LLORENTE SPURS YASHINDA 4-1

  Lucas Moura akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur dakika za 28 na 44 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Roma katika mchezo Kombe la Mabingwa wa Kimataifa Uwanja wa San Diego County Credit Union mjini San Diego, California, Marekani. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Fernando Llorente dakika za tisa na 18, wakati la kufutia machozi la Roma limefungwa na Patrik Schick dakika ya tatu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MOURA AFUNGA MAWILI KAMA LLORENTE SPURS YASHINDA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top