• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 20, 2018

  HIMID MAO NA WACHEZAJI WENZAKE WA PETROJET MJINI ALEXANDRIA

  Kiungo Mtanzania, Himid Mao (wa pili kulia) akifurahia na wachezaji wenzake, Ahmed Raouf, Mohamed Abou Elnaga na Ahmed Sobhi wa Petrojet FC kwenye bwawa la kuogelea la hoteli ya Radisson Blu mjini Alexandria, Misri baada ya mazoezi 
  Himid Mao amejiunga na Petrojet FC Mei mwaka huu kutoka Azam FC ya nyumbani aliyoanzia kuichezea timu ya vijana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HIMID MAO NA WACHEZAJI WENZAKE WA PETROJET MJINI ALEXANDRIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top