• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 25, 2018

  MAZOEZI YA SIMBA SC YALIVYOENDELEA LEO UTURUKI

  Mshambuliaji waSimba Adam Salamba akiwania mpira dhidi ya kiungo, Mohammed 'Mo' Ibrahim katika mazoezi ya timu hiyo kwenye moja ya viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul 
  Mshambuliaji wa Simba Adam Salamba akimdhibiti Muzamil Yassin katika moja ya viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul 
  Muzamil Yassin akipambana na Adam Salamba katika moja ya viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul 
  Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Mohammed Rashid akpigania Ulaya
  Simba Adam Salamba akimdhibiti Muzamil Yassin katika moja ya viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA SIMBA SC YALIVYOENDELEA LEO UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top