• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 22, 2018

  HARUSI YA BEKI WA YANGA GARDIEL MICHAEL MBAGA KATIKA PICHA

  Beki wa Yanga SC, Gardiel Michael Mbaga (kushoto) akiwa na mkewe katika sherehe ya harusi yao baada ya kufunga ndoa jana mjini Dar es Salaam
  Gardiel Michael (kushoto) akiwa na mkewe katika sherehe ya harusi yao jana
  Kiongozi wa Yanga, Samuel Lukumay (kulia) akimpongeza mchezaji wake. Katikati ni mchezaji mwenzake, Juma Mahadhi
  Samuel Lukumay akiwa na Juma Mahadhi pamoja na maharusi, Gardiel na mkewe
  Gardiel Michael na mkewe pamoja na ndugu na jamaa katika sherehe hiyo iliyofana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HARUSI YA BEKI WA YANGA GARDIEL MICHAEL MBAGA KATIKA PICHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top