• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 30, 2018

  MASHABIKI WA YANGA SC WANAVYOTESWA NA TIMU YAO

  Mashabiki wa Yanga wakitazama mchezo baina ya timu yao dhidi ya Gor Mahia ya Kenya jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam 
  Hadi mapumziko Yanga walikuwa nyuma kwa mabao 2-0, laini mwishowe wakafungwa 3-2 katika mchezo huo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika 
  Hawa ni mashabiki wa mahasimu wao, Simba wakiwatabiria kufungwa 3-0 mapema tu kabla ya mchezo huo kuanza 
  Binti mdogo (kulia) anaonekana akimsemesha jamaa ambaye 'hayupo kabisa' eneo aliloketi
  Mashabiki wa Yanga kila mmoja kwa fikra na hisia zake jana 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MASHABIKI WA YANGA SC WANAVYOTESWA NA TIMU YAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top