• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 25, 2018

  MBAO YAMSAJILI PASTORY ATHANAS ALIYEWAHI KUCHEZA SIMBA

  Mshambuliaji Pastory Athanas akiwa ameshika jezi ya Mbao FC baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Singida United. Athanas amewahi kuchezea pia Kagera Sugar, Stand United, Simba SC na Toto Africans 

  Mshambuliaji Evaristigus Bernard Mujwahuki akiwa ameshika jezi ya Mbao FC baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili akitokea Mwadui FC ya Shinyanga.
  Mshambuliaji Rajesh Kotecha akiwa ameshika jezi yake namba tisa baada ya kusaini mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo chini ya kocha mpya, Amri Said

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBAO YAMSAJILI PASTORY ATHANAS ALIYEWAHI KUCHEZA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top