• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 25, 2018

  SINGIDA UNITED YAMSAJILI 'RASTA' AWESU ALIYETISHA MWADUI FC

  Mkurugenzi wa Singida United, Sanga Festo akimkabidhi jezi ya timu hiyo, kiungo Awesu Ally Awesu 'Zig Zag' baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili akitokea Mwadui FC ya Shinyanga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SINGIDA UNITED YAMSAJILI 'RASTA' AWESU ALIYETISHA MWADUI FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top