• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 29, 2018

  MAN CITY YAICHAPA BAYERN MUNICH 3-2 MAREKANI

  Bernardo Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 45 na 70 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Bayern Munich kwenye mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa Uwanja wa Hard Rock mjini Miami Gardens, Florida, Marekani. Bao lingine la Man City limefungwa na Lukas Nmecha dakika ya 51 wakati ya Bayern Munich yamefungwa na Meritan Shabani dakika ya 15 na Arjen Robben dakika ya 24 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA BAYERN MUNICH 3-2 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top