• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 25, 2018

  MESSI NA MKEWE WAHUDHURIA SHEREHE YA HARUSI YA FABREGAS

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi (kushoto) na mkewe, and Antonella Roccuzzo wakiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa klabu hiyo, Cesc Fabregas na mkewe Daniella Semaan katika sherehe ya ndoa ya kiungo huyo wa Chelsea jana mjini Ibiza 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI NA MKEWE WAHUDHURIA SHEREHE YA HARUSI YA FABREGAS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top