• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 26, 2018

  DILUNGA, NDEMLA HAWA HAPA UTURUKI WAKIJIFUA NA SIMBA

  Wachezaji wa Simba SC kutoka kulia, Meddie Kagere, Said Ndemla na Hassan Dilunga wakiwa mazoezi katika moja ya viwanja vilivyopo kwenye hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul, Uturuki baada ya kuwasili leo kuungana na wenzao  Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere (katikati) akiwa na Hassan Dilunga (kulia) na Adam Salamba (kushoto) 
  Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere (katikati) mbele ya Hassan Dilunga. Kulia ni Muivory Coast, Serge Wawa Pascal na Adam Salamba (kushoto)
  Kutoka kulia Erasto Nyoni, Wawa Pascal, Meddie Kagere na Said Ndemla
  Wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezini leo viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul 
  Makocha, Mbelgiji Patrick Aussems (kushoto) na Mrundi, Masoud Juma (kulia)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DILUNGA, NDEMLA HAWA HAPA UTURUKI WAKIJIFUA NA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top