Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang (mbele) akiwa kwenye maji akiupoza mwili baada ya mazoezi ya leo Uwanja wa Colney mjini London chini ya kocha mpya, Mspaniola, Unai Emery aliyechukua nafasi ya kocha wa muda mrefu, Mfaransa Arsene Wenger. Arsenal inatarajiwa kwenda Singapore Jumapili kushiriki Kombe la Mabingwa wa Kimataifa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment