• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 31, 2018

  MAZOEZI YA AZAM FC KATIKA PICHA LEO MAKERERE

  Wachezaji wa Azam FC, Wazimbabwe Tafadzwa Kutinyu (kulia) aliyesajiliwa kutoka Singida United na Donald Ngoma (kushoto) aliyesajiliwa kutoka Yanga SC wakijadiliana mambo wakati wa mazoezi Uwanja wa Chuo Kikuu Cha Makerere jijini Kampala, kwenye kambi ya Uganda leo asubuhi kujianda na msimu
  Kiungo wa muda mrefu wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akikimbia mazoezini leo 
  Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo akikimbia leo mazoezini mjini Kampala 
  Mshambuliaji mpya, Daniel Lyanga kutoka Singida United akijifua leo 
  Mabeki, Mganda Nico Wadada (kulia) na David Mwantika kushoto wakijifua 
  Kutoka kulia viungo Mudathir Yahya na mshambuliaji Danny Lyanga kwa mbali
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA AZAM FC KATIKA PICHA LEO MAKERERE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top