Kipa wa Hispania, David de Gea akiwa mnyonge baada ya kufanya makosa yaliyompa nafasi Ricardo Rodriguez (kulia) kuisawazishia bao Uswisi dakika ya 62 baada ya beki wa kulia, Alvaro Odriozola kuanza kuwafungia wenyeji dakika ya 29 katika sare ya 1-1 usiku wa jana Uwanja wa Ceramica mjini Villarreal kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa kujiandaa na Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment