• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 29, 2018

  UBELGIJI YAICHAPA ENGLAND 1-0 LAKINI ZOTE ZAFUZU 16 BORA

  Adnan Januzaj akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Ubelgiji bao pekee dakika ya 51 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya England kwenye mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia. Kwa matokeo hayo, Ubelgiji inamaliza katika nafasi ya kwanza kwenye Kundi G kwa pointi zake tisa, ikifuatiwa na England yenye pointi sita na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora huku Tunisia na Panama zikiishia hapa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UBELGIJI YAICHAPA ENGLAND 1-0 LAKINI ZOTE ZAFUZU 16 BORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top