• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 25, 2018

  SUAREZ AFUNGA URUGUAY YATINGA 16 BORA KOMBE LA DUNIA

  Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza timu yake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Urusi leo kwenye mchezo wa Kundi A Kombe la Dunia Uwanja wa Samara Arena. Mabao mengine ya Uruguay yamefungwa na Denis Cheryshev dakika ya 23 na Edinson Cavani dakika ya 90 na kwa matokeo hayo inamaliza kileleni kwa Kundi A ikifuatiwa na Urusi na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUAREZ AFUNGA URUGUAY YATINGA 16 BORA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top