• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 20, 2018

  ULIMWENGU AONYESHA YUKO FITI NA TAYARI KWA KAZI SUDAN

  Mshambuliaji mpya wa Al Hilal ya Sudan, Thomas Ulimwengu akiwatoka wenzake wakati wa mazoezi juzi mjini Khartoum. Ulimwengu anarejea uwanjani akiwa na klabu mpya, baada ya kukaa nje kwa mwaka mzima kufuatia kuumia akiwa na AFC Eskilstuna ya Sweden mwaka jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ULIMWENGU AONYESHA YUKO FITI NA TAYARI KWA KAZI SUDAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top