• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 22, 2018

  AHMED MUSA AFUFUA MATUMAINI YA NIGERIA KOMBE LA DUNIA

  Ahmed Musa akishangilia baada ya kuifungia Nigeria mabao yote dakika za 49 na 75 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia leo Uwanja wa Volgograd Arena nchini Urusi, kabla ya Gylfi Sigurdsson kukosa penalti dakika ya 83 na kuikosesha timu yake japo bao la kufutia machozi. Nigeria sasa itakutana na Argentina katika mchezo mkali wa mwisho wa Kundi D Jumanne ijayo kuwania kusonga mbele 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AHMED MUSA AFUFUA MATUMAINI YA NIGERIA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top