• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 19, 2018

  KANE APIGA ZOTE MBILI ENGLAND YAICHINJA TUNISIA 2-1 KUNDI G

  Harry Kane akishangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao mawili England dakika za 11 na 90 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tunisia kwenye mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia Jumatatu Uwanja wa Volgograd nchini Urusi. Bao la Tunisia limefungwa na Ferjan Sassi kwa penalti dakika ya 35 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KANE APIGA ZOTE MBILI ENGLAND YAICHINJA TUNISIA 2-1 KUNDI G Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top