Cristiano Ronaldo akishangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao yote matatu Ureno dakika za nne kwa penalti, 44 na 88 katika sare ya tatu na Hispania kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia usiku wa Ijumaa Uwanja wa Olimpiki mjini Sochi, Urusi. Mabao ya Hispania yalifungwa na Diego Costa mawili dakika za 24 na 55 na Nacho dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment