Nahodha wa Peru, Paolo Guerrero aliyepambana na adhabu ya kufungiwa kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu kwa miezi saba ili kupata nafasi ya kucheza Kombe la Dunia nchini Urusi akishangilia baada ya kuifingia timu yake bao la pili dakika ya 50 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Australia leo Uwanja wa Olimpiki Fisht mjini Sochi baada ya Andre Carrillo kufunga la kwanza dakika ya 18. Pamoja na ushindi huo wa kwanza baada ya miaka 40, Peru imetolewa sambamba na Australia zikiziacha Ufaransa na Denmark zikisonga mbele hatua ya 16 Bora kutoka Kundi C PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment